Jamani mdogo wangu wa kike amepata Div IV.31 yan mchanganuo ni kama ufuatavyo: Civ-D,Hist-F,Geo-F,Kisw-D,Engl-D,Lit-D,Bio-F and B/math-F. Jamani nisaidieni anaweza fanya nini kwa matokeo hayo?.
Ushauri aende palanye UBUNGO PLAZA kuna chuo kinaitwa MUST COLLEGE kinato Spatial Technology na kimesajiliwa na VETA.Kuna mdogo wangu alipata matokeo kama hayo amejiunga pale na anamaliza mwezi wa 8 na akifanya vizuri anaendelea na Diploma katika vyuo ambavyo viko chini ya NACTE kama Ardhi Morogoro ama Tabora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.