Beki ya Chelsea inajitahidi so far.Ila hawakai na mpira hata kwa yale mashambulizi yao ya masafa marefu na offside zimekuwa nyingi kwa huyu Bwana Drogba.
Chelsea wamenifanya leo nilale fresh maana nilibet nikasema wanashinda,kwa hiyo kesho asubuhi na mapema naenda kuchukua mzigo maana salio langu lote nilibet ,yaani hapa ni full shangwe.