luku pole sana kaka yangu,, kwani huyo mwanamke umekua nae kwenye mahusiano kwa muda gani?? kama ni zaidi ya hiyo miezi3 na wiki mbili inamaana aliibeba hiyo mimba wakati mpo pamoja,,, sasa hapo inategemea mapenzi yako kwake mazito kiasi gani ili uamue kumuoa lakini pia unahakika huyo dada ana mapenzi mazito kama yako? na kwanini akucheat kama anakupenda kama alizidiwa na hisia kwanini hakukuambia,, na hiyo mimba aliipata katika mazingira gani?? jaribu kutafuta majibu ya haya maswali ukiyapata maamuzi ni yako sasa,,,,