Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
loading......please wait............
Ok imefunguka, kumbe humu humu JF watu wanafanya makubwa namna hii, nami ngoja nianze mchakato
Nokla hiyo quote ni ya mtoa mada sio mimi.........ila oyeahhh i mean Jf hooks pipo up its a social network afta all.. i got my man from here as well and am so sooo happy.... so give it a try u never know!!!!!!!!!!
pole sana luku_77habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
asante!Jiweke pembeni ndugu manake huyo wala hakufai.............mwache aende kwa huyo mwenye huo mzigo!
Pole sana, anza mchakato upya.
maisha yana endelea!Kakukosa huyo kaka,hana aibu alitaka kukushikisha mzigo wa mwizi....move on tafuta kitu kingine,huyo utulivu F
mshukuru Mungu umeyajua hayo mapema
kisicho riziki hakiliki wangu...............
pole sana ......................
asante nawe pia sikukuu njema! ni kweli miguu kazi yake kutembea kichwa kazi inafahamika!
Watu kama hawa ni wa kuwapa shit tu...
unajuwa ukimtanguliza mungu kwa kila jambo lililo baya atakuepushia nigekuwa mwenye tamaa za mwili kupitiliza ningeishi na mtoto asie kuwa wangu,
yeah maamuzi ninayo! kwangu ni mbele kwa mbele anae bakia nyuma achana nae!sasa kumbe ulishachukua maamuzi.
asante !A.a.a wapi luku..we jieke pemben ucje juta bure.!!
Muoe............