mii naamin mda sio tatizo sana! sikupenda kupoteza mda nahitaji kuokowa mda! hiyo ndio iman yangu! mda ni muhim sana maana haumsubiri mtu!
Daah! Achana nae hakufai huyo!
asante mkuu nimekusoma 100%Duh! We unangoja nini? Na unataka nini tena,shukuru Mungu wako aliyekupa wazo mpime na mimba maana ungepigwa kanyaboya,kudadadeki ingekula kwako na ndoa ushafunga..anza upya mkuu,.ni hayo tu

nyweele zingekua akili, bas salon tungekua tunalipwa!
dah kweli kafeli tena ffffffffffffffffffffffffffffff.Kakukosa huyo kaka,hana aibu alitaka kukushikisha mzigo wa mwizi....move on tafuta kitu kingine,huyo utulivu F
sanasana ni maoni tu!hili nalo linaitaji ushauri?
Pole sana!
Jf bana.
asante! mbegu ninazo ila shamba sina! nitalima aje?hata hapo bado unataka ushauri kaka?ukiona manyoya ujue kaliwa huyo!anza upya kufuga