na wiki mbili. sikuamin kabisa nikamuuliza alikuwa hajuwi?? hakusema lolote! na aliondoka bila kumuaga mtu yoyote, mpoka hivi leo yani mda huu hapokei sim yangu, nimempigia sim dada ake kasema amefika leo Dar. jamani nifanye nini..?? naomba ushauri wenu.....
sasaa hili la ufanye nini ndo unatuuliza sisi?
si data zote unazo?
unajuwa mii nilienda kujuwa kila kitu uzazi HIV na magonjwa yote ya kuambukiza!swali mlienda pima ngoma au uzazi? Je ukpma ngoma na uzaz wanapma?
asante kwa kunikumbusha hilo!Katoe sadaka ya shukrani, ulikuwa ushikishwe mzigo huo.
asante !
Ndugu,sometimes mwanzo hutabiri mwisho...!!
asante ndugu,!Sasa kakaangu uamuzi wako wa kupima kwanza umekusaidia sana kuepuka kulea mwana asiye wako! Mshukuru sana Mungu aliyekuongoza kwenye jambo hili. Furahi na shangilia na huyo dada mpishe apite mbali. Tafuta mwingine.
likuepukalo linakheri ujaja sii kupata bali ni kufanikisha malengo!kuchelewa chelewa unaonekana zobaaaaaaaaaaaaa! siyo enzi za mwalimu hizi, ukipendwa mnamalizana leo leo, mengine baadaye, ukiwa kama mwanaume hutakiwi kuwa Mwoga kabisa, isipokuwa maamuzi sahihi....familia ya nani ipo tayari kulea kisicho chaoooooo?
ni lazima tuwe macho!pole mkuu lakini ndio dada zetu walivyo hawana ukweli wako radhi kuangamiza hata kugawa magonjwa bila hata kujua nini wezi wao kitawagarimu kimaisha