Dah...! Hapa unataka ushauri gani mkuu? Umekosa uamuzi wako binafsi kuhusu mustakabali wa maisha yako kabisa??
Ngoja waje wenyewe.
sasaa hili la ufanye nini ndo unatuuliza sisi?
si data zote unazo?
sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!
meeengi yashasemwa..mie niongeze moja tu as a point of reminder...that place they call paradise (where eeeeeeeeeverything is peeeeeeeerfect) is elsewhere and I'm very sure it isn't in this world we r living in...usishangae sana...pole lakini kaka jikaze!habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3