Jamani japokuwa ana mapungufu, Mkwere apewe maua yake kwenye kutetea haki za watumishi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Maofisa utumishi wengi hasa ngazi wilaya na halmashauri wananyanyasa watumishi.

Wanaonea wivu na kuwanyanyasa kana kwamba ni watumishi wao wa ndani

Watu wanabaniwa kupanda madaraja kwa chuki binafsi.

Mimi binafsi nampongeza mkwere kwa namna anavyokemea haya maonevu.
 
Tumechoka na pipi za danganya toto, tunataka mikataba ya rasilimali iwekwe wazi, waliotekwa warudishwe
 
Kwani Katiba inasemaje? Kama vipi arudi tena ulingoni baada ya mama kumaliza muda wake tu.
 
Hakuna cha maua hapa, yani majitu yamejilimbikizia utajiri, mtumishi analipwa m.1 tena hao ni wachache alafu unaleta upumbavu , hivi yupo mto to wa uyo Mr tabasamu analipwa ml moja? Pombavu
 
Hakuna cha maua hapa, yani majitu yamejilimbikizia utajiri, mtumishi analipwa m.1 tena hao ni wachache alafu unaleta upumbavu , hivi yupo mto to wa uyo Mr tabasamu analipwa ml moja? Pombavu
Zungumzia mambo ya msingi kama watumishi wa chini kunyanyaswa na kufanyiwa mtimanyongo kupanda daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…