Jamani Jennifer Hudson..abadilika miezi saba tu..........weight watcher..............

Kapendeza kweli wala haonekani kama alipata mtoto hivi karibuni.
 

Kaka Jennife Hudson hajala madawa yoyote yale ila tu kuna program inaitwa weight watchers na hiyo ndiyo huyu Dada anawatangazia biashara kwa watu wanaotaka kukonda. Anachofanya anakula kidogo na kiti moto hagusi kabisa ila tu mamichicha ya kuchemsha na matunda kwa wingi. Vyakula vyake anavyo kula huwa pia haungi kama vile sana. Na atakuwa anatumia zaidi mafuta ya Olive Oil.
 

Thank you for this i got something 2day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…