K kamikaze Senior Member Joined May 12, 2025 Posts 146 Reaction score 155 Aug 2, 2025 #1 Yani nilikua Naona asubuhi haifiki kwa Hiyo nikianza kufagia uwanja kusudi Mungu ata kumbuka kuachia mwanga wa jua ili madaktari waamke niende hospitali. Waliowahi kuumwa na jino nadhani wataelewa.
Yani nilikua Naona asubuhi haifiki kwa Hiyo nikianza kufagia uwanja kusudi Mungu ata kumbuka kuachia mwanga wa jua ili madaktari waamke niende hospitali. Waliowahi kuumwa na jino nadhani wataelewa.