Elections 2010 Jamani just a curiousity did the US congratulate Kikwete?

Kwa nini unaona ni muhimu sana kwa Obama kupongeza na kama hajapongeza unaona tutakosa nini hapa Tanzania. Kuapishwa kumeangukia weekend si rahisi kupata habari hizo hadi kesho siku ya kazi.
 
Huo si umafia ni ubabaishaji, na uswahili hata wa ma mafia wanatumiaga akili zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…