Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

Gumzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
211
Reaction score
8
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great' limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa.
 
Kaburi kutitia ni kawaida hasa ktk hali ya mvuamvua...mara nyingi sio rahisi kushindilia udongo juu ya kaburi hvyo hujititia wenyewe baada ya muda...
 
Msije mkaunganisha na free marson manake siku hizi hata ukikohoa tu nayo ni hiyo. Ufundi tu kujitia kujengea makaburi ila kutitia ni lazma kama foundation haikuwa imara.
 
Vichwa vimejaa ushirikina tuuuu yaani hata issue ndogo na ya kawaida hivyo munaikimbizia kwenye ushirikina!!?umewahi kuzika?
 
Msije mkaunganisha na free marson manake siku hizi hata ukikohoa tu nayo ni hiyo. Ufundi tu kujitia kujengea makaburi ila kutitia ni lazma kama foundation haikuwa imara.

hahahah ukweli kabisa
 
Sina haja ya kusoma vibulog vyenu wala kufuatilia yaliyoandikwa humo. Kaburi kutitia halititii kwa muda maalum, ni sawa na unga wa maandazi, kuumuka kwake haraka kunaletwa na kiasi cha hamira na hali ya hewa ya wakati huo. Mngeniruhusu nilimwagie maji that day, lingetitia saa hiyo hiyo, period!
 
likiota MAJANI pia muweke kwenye blog zenu...mtujuze!
 
Duh, mafisadi lazima walipiga hela hapo kaburi likajengwa chini ya viwango..!
 
Nyie wachawi sana nyie..! Kila siku mnaenda kukagua kaburi lake kuona kama kuna mabadiliko..uchawi tu!
 
Duh, mafisadi lazima walipiga hela hapo kaburi likajengwa chini ya viwango..!

Eti viwango!, viwango gani?!, TBS!, TFDA!, mkemia, ERB?!, au bongo movie?!
 
yaani sijui nilikuwa dunia gani, nilikuwa simfahamu kabisa kanumba
mpaka siku aliyokufa. Yaani ajabu kwelikweli sijui imekuwaje nikashindwa
kumfahamu mtu huyo hapo kabla.

inategemea ulichana gamba letu mwaka gani iso kosa lako ni uchumi wa nchi
 
Huyu alikuwa na nianjemaalitaka kuwaonyesha jamani zile pesa mlizotoa ziliishia mikononi mwa waheshimiwa wenye suti nyeusi na miwani na hivyo hili sio la kushangaza
 
Mbona ni jambo la kawaida kwa makaburi yote ya type ile,..lingeumuka mngesema,lingebak hvyohvyo mngesema!duh
 
Back
Top Bottom