Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
Huyu alikuwa na nianjemaalitaka kuwaonyesha jamani zile pesa mlizotoa ziliishia mikononi mwa waheshimiwa wenye suti nyeusi na miwani na hivyo hili sio la kushangaza
Mbona nimekutana na Kanumba Mkuranga leo!!......
Eti viwango!, viwango gani?!, TBS!, TFDA!, mkemia, ERB?!, au bongo movie?!
Yaani sijui nilikuwa dunia gani, nilikuwa simfahamu kabisa KANUMBA
mpaka siku aliyokufa. Yaani Ajabu kwelikweli sijui imekuwaje nikashindwa
kumfahamu mtu huyo hapo kabla.
Mkuu usiseme haiwezekani! Hii obviously itakuwa ni technical problems. Km umewahi kuona ghorofa likijengwa,formwork kwa ajili ya suspended slab zinashikiliwa na mirunda(props). Kwa kaburi km lile hakuna uwezekano wa kuweka mirunda,hivyo yatakiwa kuwepo na members imara,holizontally ili kubeba uzito wa nondo na zege! Hapo ndo kosa lilipo! Kudidimia huko wenda kumesababishwa na udhaifu wa formwork. Lakini pia 1.5m iliyotajwa na baadhi ya media kuwa imetumika kujenga hilo kaburi yaweza kuwa kidogo kwa kufanya kitu imara na cha uhakika!No!!! anachosema hapa kipo so realy lile kaburi lilijengwa kwa cement na kumwagwa zege na nondo, haikuwa sawa kwa lenyewe kuanza kutitia leo hii 5 days after. watu walichanga sana kumzika star wao kiheshima, hata kama kuna watu wengine hawakumfaham hadi anafariki, ni kule kukosa kwao uzalendo kwa Entertainment industry za Home. HAPO IULIZWE KAMATI TENA BWANA LUGE NA BWANA MTITU NA SHIGONGO Walikuwa ndani na wote CV zao c nzuri sana.
Mbona nimekutana na Kanumba Mkuranga leo!!......
Duh, mafisadi lazima walipiga hela hapo kaburi likajengwa chini ya viwango..!