Jamani kama kuna msichana/mwanamke amechagua kutokuwa na mtoto kwa matakwa yake aje tuzungumze

Jamani kama kuna msichana/mwanamke amechagua kutokuwa na mtoto kwa matakwa yake aje tuzungumze

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Jamani mimi ni mwanaume.

Umri wangu ni very late 20.

Natafuta mwanamke/msichana yeyote ambaye ni childfree by choice. Yaani yeye mwenyewe akiwa na akili zake timamu bila kusukumwa na mtu wala kuchagizwa na tatizo lolote la uzazi awe na ameamua kuwa childfree.

Mimi ni childfree by choice na nahitaji mtu mwenye mtazamo kama wangu tufanye maisha!!!
 
Back
Top Bottom