Jamani kama mnaijua shule ya private inayohitaji waalimu wa chemistry na biology

Jamani kama mnaijua shule ya private inayohitaji waalimu wa chemistry na biology

Joined
Mar 25, 2012
Posts
8
Reaction score
3
Yeyote anyeijua awasiliane nasi kwa namba 0757488976, au 0684478289, ni waaalimu wenye degree na diploma ya chemistry na biology. uzoefu miaka miwili.
 
Kaka, Uko pande zipi za Jamhuri Tarajiwa ya Tanganyika? Inasikitisha kuwa Wamiliki wengi wa Shule za Binafsi wanaajiri Wakenya na Waganda, ambao ni "feki" zaidi ya maelezo. Nilishangaa juzi kusikia kutoka kwa Dogo Mmoja wa Darasa la Nne katika Shule moja ya Binafsi akidai kuwa Masomo ya Historia na Uraia (Civics) wanafundishwa na Mwalimu Mkenya!
 
Back
Top Bottom