Kaka, Uko pande zipi za Jamhuri Tarajiwa ya Tanganyika? Inasikitisha kuwa Wamiliki wengi wa Shule za Binafsi wanaajiri Wakenya na Waganda, ambao ni "feki" zaidi ya maelezo. Nilishangaa juzi kusikia kutoka kwa Dogo Mmoja wa Darasa la Nne katika Shule moja ya Binafsi akidai kuwa Masomo ya Historia na Uraia (Civics) wanafundishwa na Mwalimu Mkenya!