Jamani Kama mtu huna pesa usikope madukani

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Jamani Mimi ninahasira sana na wadada wamjini wamekopa vitu hawarudushi pesa .Nitawaanika majina yenu gazetini.rudisheni pesa banaa,nimechoka kuwatafuta
 
Unafanya biashara ya kukopesha duka, Bongo Mjini.

Weka majina tuwajuwe wakopaji
 
Nimeingizwa mjini kwani kidogo.Tangia nimeandika hapa waneshapiga simu dukani hao watu.bonge la loss natamani kulia .
 
Kwanini uwaonee huruma hao watu, waweke hapa, tuone majina yoa. Ikiwezekana, tafuta mtu Bongo ambaye atakusaidia kufuatilia fedha.

Acha kuwabembeleza hao
 
With all the money you stinking rich, rich husband, fisadi parents and all that not still unataka kulizwa na wadeni? Ungewadharau tu. Waambie mna shida nyie, married and dating poor niggaz i forgive you like Jesus forgave your sins. Watakoma kukopa.
Nimeingizwa mjini kwani kidogo.Tangia nimeandika hapa waneshapiga simu dukani hao watu.bonge la loss natamani kulia .
 
Hakuna urafiki kwenye biashara
Kwani mpaka umewakopesha unawajua
Na sio kuwajua tu ni marafiki
Wasipokulipa ingia magomeni kodisha watu waende wakawachambe na matarumbeta
 
Itabd namie unikopeshe nmependa ukopeshaji wako kwa watu maarufu
 
Hilo duka lako unafanya kazi ya kukopesha? kama ni hivyo kuna utaratibu wake wa maduka ya kukopesha ili mtu akishindwa uweze kukamata kitu so lazima uwe na mikataba ya kukopeshana...Jamani sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara waoneni kwanza Wataaram wa Biashara ndipo mjiingize kichwa kichwa. Kumbuka Biashara ni Kupata na Kukosa inaelekea wewe ushakosa vumilia then ukioa taabu achana nayo
 
Jamani eeh, mwanamke wa mjini madeni eeh! Ndo sifa kuu! Tena yawe madeni ya blauzi, leggings, vyupi na bra, madera hadi mitandio. Viatu na mapochi ya rangi zote usiulize! Lol
Seriously kuna siku mkaka alisema ana madeni ya nguo na viatu etc ya tshs 2M! Nilitaka kuzimia.
Hakuna urafiki kwenye biashara
Kwani mpaka umewakopesha unawajua
Na sio kuwajua tu ni marafiki
Wasipokulipa ingia magomeni kodisha watu waende wakawachambe na matarumbeta

Hilo duka lako unafanya kazi ya kukopesha? kama ni hivyo kuna utaratibu wake wa maduka ya kukopesha ili mtu akishindwa uweze kukamata kitu so lazima uwe na mikataba ya kukopeshana...Jamani sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara waoneni kwanza Wataaram wa Biashara ndipo mjiingize kichwa kichwa. Kumbuka Biashara ni Kupata na Kukosa inaelekea wewe ushakosa vumilia then ukioa taabu achana nayo
 
With all the money you stinking rich, rich husband, fisadi parents and all that not still unataka kulizwa na wadeni? Ungewadharau tu. Waambie mna shida nyie, married and dating poor niggaz i forgive you like Jesus forgave your sins. Watakoma kukopa.

Ni biashara yangu mwanamke unasimama hata mwanaume awe Vipi .its my business watu wanakopa hawarudishi.Nanunua Vipi in dollars na tax na usafiri .wanakuwa hawana hela ya kutosha.kuna maharusi wali order nguo zao wasimamizi na wazazi .mpaka Leo hawajalipa .nipo Kwenye big loss an sidhani Kama watanirudishia na mume wangu ameniona Kama I play games
 
Hilo duka lako unafanya kazi ya kukopesha? kama ni hivyo kuna utaratibu wake wa maduka ya kukopesha ili mtu akishindwa uweze kukamata kitu so lazima uwe na mikataba ya kukopeshana...Jamani sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara waoneni kwanza Wataaram wa Biashara ndipo mjiingize kichwa kichwa. Kumbuka Biashara ni Kupata na Kukosa inaelekea wewe ushakosa vumilia then ukioa taabu achana nayo
Hawa watu nawajua .
 
Imekula kwako biashara ya kukopesha itakuletea Umaskini

Weka Picha hii Dukani kwako

6809825735_c87b04bc43_z.jpg

i sold on credit. i sold in cash.

Jamani Mimi ninahasira sana na wadada wamjini wamekopa vitu hawarudushi pesa .Nitawaanika majina yenu gazetini.rudisheni pesa banaa,nimechoka kuwatafuta

magazeti ya bongo au marekani?kumbe hata wewe wanakukopa?
 
Hakuna urafiki kwenye biashara
Kwani mpaka umewakopesha unawajua
Na sio kuwajua tu ni marafiki
Wasipokulipa ingia magomeni kodisha watu waende wakawachambe na matarumbeta

mkuu,kumbe hata USA kuna magomeni na matarumbeta ya kusutana?
 
Jamani Mimi ninahasira sana na wadada wamjini wamekopa vitu hawarudushi pesa .Nitawaanika majina yenu gazetini.rudisheni pesa banaa,nimechoka kuwatafuta

Wataje weka majina hapa usiwe kama Zito Kabwe na wimbo wake ule oh nina majina kuyataja hayataji.
 
mkuu,kumbe hata USA kuna magomeni na matarumbeta ya kusutana?

I respect privacy zao wamenipigia wote wameniambia mwisho wa mwezi wamesema wataumbuka vibaya wataleta
 
Mwisho wa Mwezi ndio huu. Sasa taja majina ili yaishe.

Halafu naomba jina la dula lako, you can "pm" me, nina kitu natafuta..teh teh teh
 
Back
Top Bottom