Jamani Kama mtu huna pesa usikope madukani

With all the money you stinking rich, rich husband, fisadi parents and all that not still unataka kulizwa na wadeni? Ungewadharau tu. Waambie mna shida nyie, married and dating poor niggaz i forgive you like Jesus forgave your sins. Watakoma kukopa.

ungemalizia hiv shosti................................
na mume wangu atawalipia deni lenu i run my married mamamngu fisadi anaandikwa magazetini nina watoto watatu mwingine njiani watu muwe na akili wealthy nina miaka 35 kwetu kuna swimming pool babangu ni white!nimezaliwa geneva

ahahahahhahah ngoja mwaJ aje amalizie vingine!
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaaaaa!
sasa kwani ile chai na shopiing unafanyiwa saa ngapi?na muda wa kununua kwa dollars ,plus taz na kusafirisha unafanya saa ngaaapi shostiii!
ah mi unanichosha bana! BADILI TABIA kuja pande hii
 
Last edited by a moderator:
I respect privacy zao wamenipigia wote wameniambia mwisho wa mwezi wamesema wataumbuka vibaya wataleta
Acha kujishauwa wewe, kama unajuwa Privacy kilichokuleta hapa ni nini hasa!! hovyoooooo.
 
hahahaha, degedege haikubalikiiii!
Manake sie wenye vijiuchochoro mwananyamala tunajiita business women. kumbe kuwa mama wa nyumbani sifa eeh?
Natalia, me :mwaaah: sana! Chemsha hawa woote hadi wajue, muke ya muzungu binti ya fisadi, kufashi ya abroad!
khaaaaaaaaaaaaa!
sasa kwani ile chai na shopiing unafanyiwa saa ngapi?na muda wa kununua kwa dollars ,plus taz na kusafirisha unafanya saa ngaaapi shostiii!
ah mi unanichosha bana! BADILI TABIA kuja pande hii
 
Kwi kwi kwi kwiiiiiiii! Mie naongezea "Don't marry a first born ni matatizo.........."
"Mama mkwe akija kwako na wajukuu zake tupa nje mizigo yao........."
 
Kwi kwi kwi kwiiiiiiii! Mie naongezea "Don't marry a first born ni matatizo.........."
"Mama mkwe akija kwako na wajukuu zake tupa nje mizigo yao........."

sasa hyo ya mama mkwe si asavali
sa hizi huko kwenye thread ya karaha ya mama mkwe inanifanya nijute kuoa mke msomi sana
nenda ukaone mwalimu wako anachoongea!
lol una kazi sana head girl wa darasa la natalia!
af mwite na ruttashobolwwa kabisaaaa!
 
Nilikacha darasa siku 2 ngoja niende nikamsome.
 
Hahahahahahah
Natalia pole sana kama vipi wasamehe! We pesa si unayo?

Jamani Mimi ninahasira sana na wadada wamjini wamekopa vitu hawarudushi pesa .Nitawaanika majina yenu gazetini.rudisheni pesa banaa,nimechoka kuwatafuta
 
Last edited by a moderator:
Pole sana natalia sikujua kama unge lilia pesa za magauni!
Cc mwaJ

Last edited by a moderator:
Hhahahahaha mwalimu kipindi hiki cha leo lecturer Natalia hameshindwa kufundisha maana ana stress za madeni! Sijui kwa nini wabongo wanamkopa alaf awamlipi kwa muda muke ya muzungu! Hivi kwa nini asi wasue? Nimegundua kumbe Natalia ana wategemea wabongo kwa soko la nguo zake!
mwaJ pindi la leo lecturer ana onekana ana hasira sana bora abaki kuwa mama wa nyumbani kuliko kufanya biashara ya kukopesha!
 
Last edited by a moderator:
sasa, kwa list hii, kipi utanunua kwa keshi? Au poda na wanja? Maana tunajuwa dawa ya meno bwana mkubwa huwa anarudi nayo...
 
Mapenzi tu ndo tunanunua na kuuza kwa keshi, lol!
Kipindi cha maswali na majibu kimekwishaaaaaa!
sasa, kwa list hii, kipi utanunua kwa keshi? Au poda na wanja? Maana tunajuwa dawa ya meno bwana mkubwa huwa anarudi nayo...
 
With all the money you stinking rich, rich husband, fisadi parents and all that not still unataka kulizwa na wadeni? Ungewadharau tu. Waambie mna shida nyie, married and dating poor niggaz i forgive you like Jesus forgave your sins. Watakoma kukopa.

King'asti...ha aha ha haa umeniacha hooi bin taaban...
 
Last edited by a moderator:

snowhite....spendi ujueee...ha ha haaaaaa... Kongosho..stop running ur married come this way..see what Snowhite is up to...!!
 
Last edited by a moderator:
Af mtambo Sintah alitoa hili tangazo kule uwanjani kwake...cud it be,,,hmmmm..😎
ewenei..jus thinking
 
snowhite....spendi ujueee...ha ha haaaaaa... Kongosho..stop running ur married come this way..see what Snowhite is up to...!!

ahahahahhaha muache Kongosho arun her married baaaana!
lol!
natalia bana huwa nahis kama kichwani kaweka sosi ya biringanya vile badala ya ubongo mweh!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna urafiki kwenye biashara
Kwani mpaka umewakopesha unawajua
Na sio kuwajua tu ni marafiki
Wasipokulipa ingia magomeni kodisha watu waende wakawachambe na matarumbeta
kkkkkkkk kudadadeki! nimechekaje!
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…