Sina uhakika ila ninamfahamu kupitia huduma yake ya kiroho (Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam)M yeye ni raia wa Kenya.huyu jamaa alikua mwana JF?
Kwa wenzangu wa-Karismatiki, nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wa Mungu Otiato kilichotokea Kibaha usiku wa kuamkia Jumamosi (18 June 2011). Habari hizi tumetangaziwa Kanisani leo ila hakukuwa na maelezo zaidi.
Jamani mwenye taarifa zaidi nitashukuru.
Asante
huyu jamaa alikua mwana JF?