Wakubwa naomba kuelimishwa nini umuhimu wa kambi ya Upinzani kwenye vikao vya Bunge..Je ni halali bunge kuendelea na vikao wakati kambi ya upinzani ikiwa haipo bungeni?\
Je ni halali kwa spika wa bunge kusema kuwa hajui waliko wakati anafahamu kilichoazimiwa kwenye vikao vya NEC ya CCM
Naomba nifahamishwe tu na mengine mengi