Jamani Kijana anaumwa anaomba msaada wenu

Jamani Kijana anaumwa anaomba msaada wenu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1379400_598588353510498_2101426222_n.jpg



HURUMA!!! Usishuke chini bila kushare, kulike na comment neno AMEN au AMINA ili ndugu na jamaa waweze kumsaidia mtoto huyu!!

Ndugu watanzania wenzangu naomba kuungana nanyi kwa hali na mali tuweze kumsaidia ndugu yetu SULEIMAN RAJABU. Kwa chochote utakachojaaliwa na Mungu baba atakulipa kwa hili.

WAWEZA TUMA MSAADA WAKO KWA TIGO PESA AU KUWASILIANA NA BABA MZAZI RAJABU PINDE 0718355563.
 
Dah!..huu ugonjwa ni mtihani kwa kweli kwake na wauguzaji pia. Mungu mnusuru kijana huyu. Besides, nini chanzo cha tatizo hili maana naona linaenea sana siku hizi
 
Mungu, naamini hujatuacha wanao.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi na Tanzania,Pole mtoto suleiman Rajabu Pinde.
 
Back
Top Bottom