HURUMA!!! Usishuke chini bila kushare, kulike na comment neno AMEN au AMINA ili ndugu na jamaa waweze kumsaidia mtoto huyu!!
Ndugu watanzania wenzangu naomba kuungana nanyi kwa hali na mali tuweze kumsaidia ndugu yetu SULEIMAN RAJABU. Kwa chochote utakachojaaliwa na Mungu baba atakulipa kwa hili.
WAWEZA TUMA MSAADA WAKO KWA TIGO PESA AU KUWASILIANA NA BABA MZAZI RAJABU PINDE 0718355563.
Dah!..huu ugonjwa ni mtihani kwa kweli kwake na wauguzaji pia. Mungu mnusuru kijana huyu. Besides, nini chanzo cha tatizo hili maana naona linaenea sana siku hizi