Jamani kipala kinatibika??

Jamani kipala kinatibika??

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
656
Reaction score
499
Wadau naombeni msaada kama kuna dawa za kizungu au kienyeji zinazotibu au kuondoa kipara katika kichwa. Na kama zipo madhara yake ni yapi kiafya,kiakili na kimuonekano? Nahitaji mwenye information anisaidie kupitia bislisk@yahoo.com
 
Back
Top Bottom