Jamani kiuno kinaniua

Garmaa

Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
7
Reaction score
0
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.
 
mh! Pole sana,
Je haujawahi aidha kuchukua aidha mke/mume wa mtu?
 
Kwanza ni vyema tujue Garmaa jinsia yako kabla hatujaingia hapa jamvini kwa ushauri endelevu
 
nenda kwenyea maombezi kwa Kakobe au Gamanywa...hilo ni pepo!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Je huwa unavaa shanga?
Kama unavaa itabidi uongeze idadi ya shanga unazovaa na kama huwa huvai itabidi uanze rasmi kuvaa
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.
 
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.

Jaribu zoezi hili simama kaa simama kaa ruka ruka simama kaa x 20 kila siku asubuhi na jioni.
 
tafuta hii dawa Glucosamine Chondroitin
 
Kwanza ni vyema tujue Garmaa jinsia yako kabla hatujaingia hapa jamvini kwa ushauri endelevu

kama hajachakachua jinsia, garmaa = kijana wa kiume kwa kiiraqw au kimbulu.

Ushauri.
Jaribu kufanya mazoezi ya viungo.
 
Jaribu kupeleka hilo tatizo JF Doctor. Huko kuna madaktari wanaoweza kukupa ushauri! Hili ni jukwaa la picha kwa hiyo nafikiri itakuwa vigumu kupata ufumbuzi wa matatizo ya hicho kiuno chako!!!!
 
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.

Hapa si kwa picha? nenda JF Dkt utapata msaada zaidi.
 
[QUOTEa=Garmaa;1470080]Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.[/QUOTE]

Picha ya hicho kiuno iko wapi sasa?
 
nasikia mwanaume akiwa anaumwa sana na kiuno ni dalili kaanza kuchakachuliwa na wenzio,mwanzo mgumu
 
Ndugu zangu ninatatizo la kiuno kuuma huu mwaka wa 5 sasa,nimepima kila kitu lkn ugonjwa hauonekani naombeni msaada jamani nateseka sn.

hili ni jukwaa la picha, weka picha tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…