Naombeni msaada wenu hata wa mawazo wana jf, ni wiki ya tatu sasa mwenzenu kiuno na mgongo vinaniuma sana hasa ninapokuwa nimelala au kukaa, nimeshaenda hospitali na nimetumia dawa nilizoandikiwa lakn sioni nafuu zaidi ya maumivu kuongezeka. nifanye nini?