Ni mapema sana kucomment kwenye tabia zao maana bado ni wadogo, nitafanyia uchunguzi na hilo pia
wadau naomba mnisaidie kwenye hili..
Nimejaribu kuchunguza na nimegundua kitu katika kizazi hiki cha sasa cha watoto wa kike, ukweli ni kwamba watoto wengi wa kike wanaozaliwa miaka hii hasa maeneo ya mijini wanakuwa ni warembo sana na unaona kale kashepu toka mtoto akiwa mdogo kabisa hii inaashiria wakiwa wakubwa itakuwa balaa zaidi.
Sijui kama kuna sababu ya kisayansi kwenye hili au ndio wanapata athari za wachina kupitia mama zao.
unamaanisha nini?Watu sikuhizi tunachagua nani niki zaa naye ataleta dna mzuri....