Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Salaam za dhati wakuu nakumbuka zimepita siku nne toka nizamie sasa leo nashanga koo yangu imekuwa nzito yaani nabanja hovyo mpaka najishtukia, wakati si kawaida yangu sasa sijui ndo tayari maana juzi kuna redio fulani imetangaza eti ni chanzo kikubwa cha saratani ya koo.