Jamani kubet kunanitesa sana

Mimi nilianza kubet tangu mwezi wa 8 mwaka jana, kwa kuanza tu nilimpiga mhindi wa Sportpesa t Sh. 610000/= ikafuata 430000/= ikafuata 600000/= nikamkosa kumpiga ml. 43, r. Madrid ndo aliniaribia nilikuwa na mikeka 9 yote ilikuwa tayari ikimsubiria Madrid dhidi ya betis kama sikosei na katika mikeka yote hiyo nilikuw nimempa Madrid ushindi lakini mwisho wa Siku aliishia kudroo 2-2 mikeka yote Tisa ukiijumlisha ilikuwa 43 ml. Aisee sikupata usingizi siku hiyo na tangu hapo namchukia sana Madrid, ila nilichojifunza ni kwamba unatakiwa kuweka timu chache sana zikiwa nyingi zisizidi 8, sasa ukiweka buku ukaweka timu 8 ukapata 9000 au 12000 kwa siku huna hasara yoyote. Sasa ukiwa na 20000 ukaweka mikeka yako ya 1000 bila shaka utakuwa na mikeka 20 na katika 20 ukikosa 10 ukapata 10 na katika hiyo kumi @ 1 ukapata wastani wa 8000, unakuwa na 80000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…