Habari wadau!
Asubuhi nimepigiwa simu kwamba kuna mtu kazimia ghafla alikuwa anapata chai!; tukampeleka Hosp. Fasta katundikiwa drip.
Lakini cha ajabu nimekaa hospitali mpaka sahivi mchana huu nimeshuhudia watu wengine watatu wameletwa kutoka sehemu mbali mbali wakiwa hoi baada ya kula;
Wito;
Tukumbuke kula kistaarabu hususani tuliokuwa tumefunga, matumbo yetu yanataka kula kila kitu lakini tujaribu kujizuia.