Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Niliganya utafiti wanaosema hamna visu pengine walitingoza humu wakakataliwa.Beauty is subjective, pia kumbuka hilo...
This goes both ways. So hata wewe unaowaona visu, kuna wengine watawaona wakawaida. Just saying!
Kiranja mwenyewe anapenda papuchi mpaka sometime halali shule .je wewe mwanafunzi wa kawaida ?Sasa hii kijana itatusaidia namna gani kujikwamua na hali ngumu kiuchumi?
Sent using Jamii Forums mobile app