Jamani kumbe judge anaruhusiwa kufundisha chuo kikuu na kuwa mkuu wa kitivo

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
wana jf. Nipo hapa katika chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa (sekomu), leo kuna mahafali ya kwanza ya chuo tangu kuwa fully fledge university toka tuma makumira cha kushangaza nimebahatika kufuatilia swala la maandalizi ya sherehe na nakuja na yafuatayo kwanza, mhitimu aliye fanya vizuri ametoka ka tika kitivo cha elimu maalum na amepata first class ya 4.7 with honours, pili mkuu wa kitivo cha sheria mh. Judge . Mushi kwenye ratiba inaonesha kuwa ndo atakuwa anaita majina ya watakao tunukiwa astashahada, stashahada na shahada na mgeni rasmi mch. Stevin munga mkuu wa chuo sekomu swali langu je judge kama judge huyu ambaye ana shahada ya kwanza na school of law anastahili kuendelea kufindisha watoto wetu,ikumbukwe huyu mtu i mean judge ni mstaafu na alikuwa mkuu wa chuo cha ija lushoto, chuo mara baada ya kukosa dr. Wala prof. Ndo wakamtafuta na leo ndo watalidhihirishia taifa kuwa judge mushi anazo sifa za kuwa mkuu wa kitivi tcu mpo? Jamani nisaidieni kwa hili
 
Acha uvivu wa kufikiri pamoja na kusoma,hebu tueleze ni sheria gani inamkataza jaji mwenye shahada asiwe mkuu wa chuo?,na ni kifungu gani kinachosema mkuu wa chuo lazima awe na phd au profesa,hv huoni vyuo vingine,mfano mheshimiwa john malechela ameshakuwa mkuu wa chuo kikuu cha OUT akiwa hana phd wala uprofesa,wapo wengine wengi tu wa aina hyo iweje ukashangaa kwa huyo jaji kuwa mkuu wa chuo?
 
vyuo vyenu si vya kata kwahyo unashangaa nini dogo
 


Ina maana na 'usomi' wako wote hujui tofauti ya madaraka na cheo?
 

Mkuu, naona haukufanya research yako vizuri.. Judge Mushi ana Masters Degree from university of London.. My point exactly, he has every right and experience ya kutosha kuwa mkuu wa kitivo cha sheria.. Kumbuka he has been in practice for over 30 years in the field, so I'm sure waliomteua, waliangalia vigezo na masharti yote before making that decision.. What matters the most is how well you are able to perform the task assigned to you, not otherwise.. So, I hope this answers your question..
 
Wewe ni muongo hakuna first class ya 4.7 pale chuoni unajifurahisha tu kama si kuufurahisha uma wa wana jf.
Pili,kila faculty ilikuwa na best students wake na hakukuwa na overall best students nilikuwepo mkuu kwenye convocation
Tatu,Je jaji mushi alivaa kofia ya namna gani?alipopata phd alikuambia sasa nina phd?
 
Icho chuo si ndio kile kilichopo mkabala na kibanda cha anko chuma mkaanga mihogo...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…