S Shinoyankela Member Joined Mar 24, 2014 Posts 25 Reaction score 4 Mar 27, 2014 #1 Jamani anayejua dawa ya kulainisha miguu anisaidie.
A Abuu Bardizbah Member Joined Aug 10, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Apr 1, 2014 #2 katafute mafuta yameandikwa Tousana glycerine ya kakopo kana rang ya njano paka kila miguu unapokua umeloanisha
katafute mafuta yameandikwa Tousana glycerine ya kakopo kana rang ya njano paka kila miguu unapokua umeloanisha