Jamani kuna Division I point 3 iliyowahi kutoka ECA

Jamani kuna Division I point 3 iliyowahi kutoka ECA

Ema4West

New Member
Joined
Apr 6, 2009
Posts
1
Reaction score
0
Wadau nimejaribu kufanya tamthmini kuhusu ufaulu wa mchepuo wa biashara yaani ECA, ila nimegundua kwa miaka ya hivi karibuni hakuna mtahiniwa yeyote aliyewahi kupata Division I ya point 3. Jamani nisaidieni kwa hili.
 
usaidiwe nini sasa mkuu...unaweza kuwa more specific? maana umeuliza na kujibu kuwa hujaona...
 
Wadau nimejaribu kufanya tamthmini kuhusu ufaulu wa mchepuo wa biashara yaani ECA, ila nimegundua kwa miaka ya hivi karibuni hakuna mtahiniwa yeyote aliyewahi kupata Division I ya point 3. Jamani nisaidieni kwa hili.

Kama hutapata jibu la kukidhi swali lako hapa JF nadhani the best way ni kumtembelea dada Joyce Ndalichako na crew yake pale NECTA maana watakuwa wanatunza data kama hizo.
 
Back
Top Bottom