WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,433 Reaction score 1,442 Jan 7, 2016 #1 Wakuu mke wangu ana mzunguko wa siku 30. Huwa anaingia siku zake tarehe sita na saba hivi,sasa nimekutana naye kuanzia tarehe 20-28. Siku tatu za mwanzo tulitumia kinga ila zilizobaki tulitumia withdraw method. Sasa jana tarehe 6 hajaona kitu na leo pia, hamna kitu je kutakua na mimba? Last edited by a moderator: Jan 8, 2016
Wakuu mke wangu ana mzunguko wa siku 30. Huwa anaingia siku zake tarehe sita na saba hivi,sasa nimekutana naye kuanzia tarehe 20-28. Siku tatu za mwanzo tulitumia kinga ila zilizobaki tulitumia withdraw method. Sasa jana tarehe 6 hajaona kitu na leo pia, hamna kitu je kutakua na mimba?
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Jan 7, 2016 #2 mna miaka mingapi ya ndoa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,518 Reaction score 6,506 Jan 7, 2016 #3 Je hutaki mke wako kupata mimba ya mbegu zako!? Una furaha au huzuni. Ila mimi mahesabu ya tarehe za mimba nimemwachia mke, mimi ni kutii maelekezo tu, akisema leo ni hatari, basi naepuka. Nina watoto kadhaa, wanatosha.
Je hutaki mke wako kupata mimba ya mbegu zako!? Una furaha au huzuni. Ila mimi mahesabu ya tarehe za mimba nimemwachia mke, mimi ni kutii maelekezo tu, akisema leo ni hatari, basi naepuka. Nina watoto kadhaa, wanatosha.
WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,433 Reaction score 1,442 Jan 7, 2016 Thread starter #4 pleo said: mna miaka mingapi ya ndoa Click to expand... Mkuu ni changa sana afu wife ndo ameingia mwaka wa tatu...naogopa itamtesa sana
pleo said: mna miaka mingapi ya ndoa Click to expand... Mkuu ni changa sana afu wife ndo ameingia mwaka wa tatu...naogopa itamtesa sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 7, 2016 #5 Kama ni mkea wasi wasi wa nini, mpaka kuliza watu.
M matwin Senior Member Joined Jan 7, 2016 Posts 124 Reaction score 134 Jan 8, 2016 #6 Inaweza kuwa imechelewa tu asubiri baada ya wiki mbili apime kwa kipimo cha mkojo
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 9, 2016 #7 WENYELE said: Mkuu ni changa sana afu wife ndo ameingia mwaka wa tatu...naogopa itamtesa sana Click to expand... Mna mtoto mwingine? Jambo la heri we furahi bwana unadhani akiwa kazini ndo haitamtesa hongera ba kijacho
WENYELE said: Mkuu ni changa sana afu wife ndo ameingia mwaka wa tatu...naogopa itamtesa sana Click to expand... Mna mtoto mwingine? Jambo la heri we furahi bwana unadhani akiwa kazini ndo haitamtesa hongera ba kijacho
WENYELE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,433 Reaction score 1,442 Jan 9, 2016 Thread starter #8 matwin said: Inaweza kuwa imechelewa tu asubiri baada ya wiki mbili apime kwa kipimo cha mkojo Click to expand... Leo kapima hajakuta kitu
matwin said: Inaweza kuwa imechelewa tu asubiri baada ya wiki mbili apime kwa kipimo cha mkojo Click to expand... Leo kapima hajakuta kitu