jamani....kuna ndugu yangu amepata diviosion 4 ya points 27....amefurahi sana....

jamani....kuna ndugu yangu amepata diviosion 4 ya points 27....amefurahi sana....

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
jamani ndugu zangu.haamini alichokipata matokeo haya..... amepata division four na alikuwa anasoma shule ya FLANI YA HAPA DAR.....nilimuuliza sababu....za kufaulu akanijibu......

kwa matokeo yake...hayo.....
1.anaweza kwenda chuo na akaanza kusoma cheti mpaka degree
2.anaweza kwenda ualimu
3.anaweza kujiunga na polisi
4.haamini kama angepata matokeo haya

kwaiyo alichofurahi yeye anaweza kusonga mbele......tofauti na mtu mwenye zero.....

SWALI LA LANGU NI JEE? HIVI NI KWELI TUMEFIKA HATUA MTU UKIPATA FOUR UNAFURAHI...
 
Maisha ni hatua na kwa hali ya matokeo ya mwaka huu amepiga hatua anastahili kufurahi na kupongezwa
 
Ndugu yake njia nyeupe upolisi, je anautaka? Upo damni?
 
Ganda la mua la jana....................................,bora yasheeeeeeee.mfanyie chicken part.
 
Back
Top Bottom