Jamani kuna niliyemkosea mbona kila mara radi inapiga tu mkabala na dirisha langu ghetoni?

Fikiria wale wote uliowaahidi ndoa pale ulipotaka kula tunda la mti wa katikati na hukuwatimizia ahadi hiyo, ndiyo mwanzo wa kutengeneza uadui.
 
Mkuu nakumbuka nilisomaga gazeti la mwananchi kuna babu alizulumiwa hela zake na benk ya NMB sumbawanga akaipiga radi ikaungua yote
 
Utoto raha sana!
 
Mkuu nakumbuka nilisomaga gazeti la mwananchi kuna babu alizulumiwa hela zake na benk ya NMB sumbawanga akaipiga radi ikaungua yote

Sumbawanga (Lyamba la mfipa) Uchawi wa Radi ndio Nyumbani, usipime kabisa
 
Huyu sindiye palikuwa kuna uzi humu wakumsifia au majina yanafanana?
 
ridisha ulikokitoa hicho kitu cha watu lasivyooo tutakuzikaaaa sasa
 
Radi radi radi radi

Ulikula vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…