Fungua kituo chako cha Television kma Azam hlf muoneshe chadema mda woteAzama kuwa kuna habari wanaripoti au hawaripoti kabisa licha ya kuwa na ubora wao wa teknolojia, Wanahabari wake wanaangalia mmiliki wake ana mrengo gani wa kisiasa na kidini na hata kikanda. Azam wanachoweza kurusha vema ni mpira tu mambo mengine wanarusha kwa willing ya imani na itikadi ya mmiliki, ni hovyo sana hiyo media
Kumbe wa siasa kali nao wamo.Fungua kituo chako cha Television kma Azam hlf muoneshe chadema mda wote
Kma sipati faida ya nini nifanye kitu hicho?
ningeshangaa sana kama nisingesoma jibu la kipuuzi kama hili. Acha ujinga ruhusu akili yako kuwa huruFungua kituo chako cha Television kma Azam hlf muoneshe chadema mda wote
Kma sipati faida ya nini nifanye kitu hicho?
zinaogopa kufungiwaMedia gani Tanzania ipo huru na inaripoti kwa weledi? Zote ni uozo mtupu
Hhhh sasa ndugu unalazimisha kituningeshangaa sana kama nisingesoma jibu la kipuuzi kama hili. Acha ujinga ruhusu akili yako kuwa huru
media nyingi zinajipendekeza kwa ccm, zinaogopa kufungiwa kama zikionekana zinaripoti mambo ya chadema positivelly. Hivyo vyombo ccm inapenda viripoti negativelly ila vinajua wananchi wenye akili timamu wata react instantllySiyo Azam tu ,,vyombo vyote vya habari vimenunuliwa na CCM
huwezi kupewa masafa ya umma halafu ujirushie tu mambo yako. Kuna vibali vya kurusha maudhui gani unataka umma uyaone. Ccm wana tv yao hatuilalamikii kutorusha habari chanya za chadema, sasa hii azam ni ya chama au dini gani? Hii media huona ukakasi sana kurusha mambo ya chadema chanyaHhhh sasa ndugu unalazimisha kitu
Weka king'amuzi chako ndo Solution
Usiwapangie, nunue chombo chenu. Ulitaka watangaze unavyotaka wewe?Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
Akili yako ndiyo imeozaMedia gani Tanzania ipo huru na inaripoti kwa weledi? Zote ni uozo mtupu
Nyie mna udumavu wa akili, we na huyo nani mpuuzi sasa? Mataahira mnalazimisha Azam afanye shughuli zake mnavyotaka nyie nyumbu? Huoni ht haya? Nani kwanza atakubali kutangaza huo upumbavu wenuningeshangaa sana kama nisingesoma jibu la kipuuzi kama hili. Acha ujinga ruhusu akili yako kuwa huru