Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Waha na Wapemba wakikuelewa kwa ubishi niite Rais wa dunia nimekaa pale [emoji117][emoji87]Jamani kwenye hii dunia tunakutana na mambo mengi ya kuboa ila hakuna kitu inaboa kama kuwa na rafiki mbishi aseee yeye hata kama unapoint zenye mashiko ataleta ubishi
Kingine wakuu mtu mbishi anaboa zaidi pale ambapo unakuta anabisha huku anacheka aiseeee WAHAYA MNATABU
#TUOE
#KATAAAA USINGLE
#ZAENI
ukiona mtu anakuita mbishi tambua umemzidi hoja uwezo wake wakujenga hoja ni mdogoWaha na Wapemba wakikuelewa kwa ubishi niite Rais wa dunia nimekaa pale [emoji117][emoji87]
Aisee we nimbishiukiona mtu anakuita mbishi tambua umemzidi hoja uwezo wake wakujenga hoja ni mdogo
H ha ha ha ha.AiseeHujakutana na muha akieleze reli ni chuma, terenj ni chuma, dereva ni chuma na abiria ukishaingia kwenye tereni unakua chuma, mkikaribia kushuka ndio unakua mutu.
ππππ We nimuhaya nn?Kwa hiyo wahaya ndio wabishi punguza nakasiliko ya maisha
Jamani kwenye hii dunia tunakutana na mambo mengi ya kuboa ila hakuna kitu inaboa kama kuwa na rafiki mbishi aseee yeye hata kama unapoint zenye mashiko ataleta ubishi
Kingine wakuu mtu mbishi anaboa zaidi pale ambapo unakuta anabisha huku anacheka aiseeee WAHAYA MNATABU
#TUOE
#KATAAAA USINGLE
#ZAENI