Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

Ruth kadenge

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
10
Reaction score
1
nataka kujiunga na chuo cha misitu anayefahamu, kiko mahali gani, na maelezo kuhusu hicho chuo anijuze. kwa sababu sielewi nianzie wapi, asanteni wana jf.
 
Rekebisha heading ndugu, nikajua chuo cha suti za kufa mtu
 
Olmotony kiko arusha,ni branch ya sua kama sikosei.
 
mda gani wanaanza kutuma maombi? na kuhusu fees inakuwaje? na wanaangalia vigezo gani?..
 
mda gani wanaanza kutuma maombi? na kuhusu fees inakuwaje? na wanaangalia vigezo gani?..

Hiki chuo ni tawi la SUA hivyo nafikiri ni rahisi kujua detail zake kama utakwenda pale kitivo cha misitu SUA tafuta mtu anaitwa Mmari yeye ni afisa tawala pale ataweza kukusaidia!
 
kipo kimoja kinatowa masters alicho soma mwigulu kada wa ccm
 
Back
Top Bottom