Jamani kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa

Sadick Nkinda

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
77
Reaction score
9
Jamani kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa gvnt
History C
kiswahili C
English C
Geograph C
Civics B
Biology D
Chemistry E
Math F
naomben msaasa na kwa comb gani
 
labda enzi zetu now apply chuo kujihakikishia maisha
 
Sasa usipochaguliwa ww achaguliwe nani mwingine? Kwa mwenya matokeo makali zaidi ya hayo na kwao wakiwa na vijisenti kidogo basi hutaka kwenda private kali zaidi kama feza au marian. Kwahiyo serikali inakosa wa kuwachagua so ni lazima wakuchukue tu... wewe kwa sasa jiandae na shule ya govent bt ni bush huko e.g kwiro au kigonsera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…