Kozi ya mbogamboga na matunda!Usihofu mkuu soko lao la ajira ni sawa na kozi nyingine za kilimo.Hivyo kazi za maafisa ugani kilimo,utafiti kilimo na ututor katika vyuo vya kilimo na hata ualimu wa shule za sekondari somo la kilimo unaqualify. Pia unaweza kujiajiri kwa biashara ya maua na utunzaji/utengenezaji bustani kwenye mahoteli au nyumba za watu.Akili kumkichwa tu mkuu!