Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 413
Habari jion jaman? Matumaini yangu ni wazima!
Naomba mnisaidie Kujua ile siku/tar ya kushika mimba kwa mke wangu!
kwa kabisa ana mzunguko wa siku 28
bleed inaanza tar 14-tar 18 humalizia yaani kwa siku 4
sasa naomba mnisaidie kui-pin poit ile siku ya mama kupata mimba!!!
kwasababu nimekuwa nikifuatilia nakuta kila mtu na maelezo yake wengine wanasema humohumo akiwa anableed n.k
hii ni kweli ?
wadau wanajua haya mambo naomba mnisaidie!
Nawasilisha!!