Madame B,kuja huku utusaidie,najua wewe unaijua exactly and you use that knowledge kukwepesha. Ruttashobolwa usije huku St. Paka Mweusi njoo kwa msiri wako. Nimepita tu
Kama kila mwezi anaanza period tarehe 14-18 basi hana mzunguko wa siku 28
Kama anaanza period tarehe 14-18 basi ana bleed siku 5 na siyo siku 4 kama ulivyosema ndugu...!
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 tarehe ya kushika ujauzito ni kuanzia siku ya 10 mpaka 17 unahesabu kuanzia siku ya kwanza anapoanza ku bleed..!
Mfano: Kama alianza period tarehe 14 hiyo ni siku ya kwanza, 15, siku ya pili, 16 siku ya tatu 17 siku ya nne, 18 siku ya tano..... siku ya 10 itakuwa tarehe 23 Hapo anaweza kupata mimba mpaka tarehe 30..! Tegesha kuanzia tarehe 23 mpaka 30!
Habari jion jaman? Matumaini yangu ni wazima!
Naomba mnisaidie Kujua ile siku/tar ya kushika mimba kwa mke wangu!
kwa kabisa ana mzunguko wa siku 28
bleed inaanza tar 14-tar 18 humalizia yaani kwa siku 4
sasa naomba mnisaidie kui-pin poit ile siku ya mama kupata mimba!!!
kwasababu nimekuwa nikifuatilia nakuta kila mtu na maelezo yake wengine wanasema humohumo akiwa anableed n.k
hii ni kweli ?
wadau wanajua haya mambo naomba mnisaidie!
Nawasilisha!!
Akianza kubleed siku hiyo anza kuhesabu siku tisa hawezi pata mimba hata kama utaenda dry
Siku ya 10 mpaka 14 hapa yai hua linapevuka kwa hiyo ukilala nae mimba inaingia
siku ya 15 mpaka 22 hapa fresh no mimba
siku ya 23 mpaka 27 hapa anapata mimba maana yai huwa linashuka
siku ya28 mpaka siku za bleed hakuna mimba
Mhh
Ninavyojua inavyoshauri chukua idadi ya siku za mzunguko wake gawanya kwa mbili then plus and minus 2 ndio siku ambazo more than 90% likely kupata mimba.
Yaani kama mzunguko ni siku 28 then nusu ni 14 plus 2 ni 16 minus 2 ni kumi na mbili kwa hiyo siku ya 12 hadi 16 uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa.
Note:
1. Siku zinaanza kuhesabiwa ile siku anayoanza kupata hedhi
2. Mwanaume kula vizuri na kupumzika vyakutosha siku chache kabla ya tarehe hizo ni muhimu
3.Mwanamke asiwe na stress ama asisafiri umbali mrefu
4. Ni vizuri kila mwanadada akazijua siku zake kwa uhakika.
Pamoja na kazingatia mzunguko kuwa kina dada wengi mayai yao hayapevuki sawa sawa hivyo anaweza asipate mimba ni vizuri kumwona daktari kwa ushauri na dawa za kusaidia kupevusha yai.
Akianza kubleed siku hiyo anza kuhesabu siku tisa hawezi pata mimba hata kama utaenda dry
Siku ya 10 mpaka 14 hapa yai hua linapevuka kwa hiyo ukilala nae mimba inaingia
siku ya 15 mpaka 22 hapa fresh no mimba
siku ya 23 mpaka 27 hapa anapata mimba maana yai huwa linashuka
siku ya28 mpaka siku za bleed hakuna mimba
Baby girl!!!!!
Ovulation Calendar | Free Ovulation Calculator - Ovulation Help jiasajili then jaza tarehe yako ya kwanza ya mvua kunyesha(bleeding) siku za mzunguko tafadhali usichague precise. save then itakupa calenda waweza chagua kuzuia mimba jinsia ya mtoto umtakaye na siku gani nisalama. mimi na shem wenu tunaitumia hii kupanga uzazi na tulitaka mtoto wakiume na tukaitumia tukapata tukaamua kusubiri 5years tukapanga wakike na mwezi uliopita tumepata wakike kwa kufuata ushauri huu tunajua lini tutumie condom na lini tusitumie na mamaaa hajawahi tumia vidonge au njia yeyote ya kuzuia mimba. Kumbuka kama unataka mtoto then kula vizuri kupumzika epuka maudhi hakikisha wote mnakuwa na furaha na sali siku hizo unazotafanya kuomba Mungu kwani vile vile ni Muhimu kuomba. Kwenye kuwa nafuraha ningependa wanandoa tukumbuke kuombana msamaha na kusameheana kabla hatujapanda kitandani kulala. si vizuri Kulala kitanda kimoja huku mmenuniana.
Kila laheri usisahau kama akishika ujauzito kwenda pamoja clinic kunamambo mengi mtajifunza pamoja. nakama ukipata mtoto basi kama baba ni vizuri muende clinic pamoja hua inasaidia kudumisha upendo. kama baba wakati mwingine ttenga muda kucheza na mwanao. Mungu Akutangulie upangalo lifanikiwe