Jamani kwa yeyote anayejua 'siku ya kushika mimba hapa ni ipi'??





nashukuru sana kwa majib yako na ni mazur kwa kwel hayajatofautia na ya wachangiaji na pia nili google
baby center pia majb ni haya haya!!

nashukuru pia!!
 

asante kwa thread nzuri ngoja nifate hyo link kwan mm sasa nataka nicpate
 
ukitaka urahisi hapa na kwa faida ya wengine!ile cku ya kwanza unayoanza kubreed,unaihesabu,km 1 mpaka cku 10 (bila kuzitenganisha)ni safe,kuanzia ya 11 mpaka 14,ndo cku zenyewe za kushika mimba,kuanzia 15 mpaka atakapobreed tena ni safe.....mfano,km huyo ni tar 14 ndo ana anza,unahesabu mpaka tar 24 anakuwa safe,bt kuanzia 25-27 ndo za kushika mimba,frm tar 28 mpaka atakapo breed tena ni safe
In short,ovulation ina take place cku ya 12-13-14 na ndo cku za kushika mimba so japo ni kujua mzunguko wako tu
 


asante nashukuru mkuu!!!!
 


Pole sana ndugu yangu.
Lakini kitu ambacho nataka kukukumbusha ni kwamba "Kuwa na mzunguko wa siku 28 pekee haitoshi kuweza kukubainishia ni tarehe ipi hasa ni muafaka kwa mimba". Kwani mwanamke anaweza kuwa na mzunguko kama huo lakini bado OVULATION isitokee katika tarehe hizo ambazo zimezoweleka kwa wengi (i.e 13-14-15).
1. Kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kujua ni DANGER PERIOD KWA MKEO in practical view na siyo kwa kufuata theory za vitabuni ingawa nayo ina mchango wake mkubwa tu. Na hii utaipata kwa kuangalia the Longest month/Cycle na shotest Cycle then tuna-calculate na kujua danger period ni siku zipi.
Tunafanya hivi kwasababu suala zima la menstruation ni Hormonal dependence. Na ndo maana hata kama amemaliza kubleed last week lakini kama amepata stress kidogo tu anaweza kuanza kubleed tena hata leo.

2. Kitu cha pili ni lazima uzijue dalili (signs & symptoms) za Ovulation. Hii itakusaidia katika mambo yafuatayo:-
(a). Kuplani Kushika au Kutoshika mimba.
(b). Kupata mtoto wa kike au wa kiume.
(c). Kujua kama mkeo anapata Ovulation ipasavyo au kuna matatizo fulani yakiwemo Hormonal Imbalance etc.
(d). Mambo mengineyo............................................!

Na baada ya kuangalia hayo yote kama yapo sawa, inabidi kuangalia other conditions kwa huyo mama ambazo huwa zinapelekea yeye kuto-concive (eg. HyperProlactinaemia, etc). Nazo kama ziko OK, inabidi sasa TUKUKAGUE NA WEWE BROTHER.
Kwa setting niliyopo, wanandoa wengi wanaokuja kwa issue za kutafuta watoto, KWA ASILIMIA KUBWA TATIZO LINAONEKANA KWA WANAUME NA SI AKINA MAMA KAMA ILIVYOJENGEKA KATIKA JAMII.

Naomba niishie hapa, Njaa inaniuma. Karibuni Lunch!!!!!!!!!!!
 






Nashukuru mkuu! Kwa ushauri wako
ila ukiendelea baada lunch itakuwa Much better!
 
Nashukuru mkuu! Kwa ushauri wako
ila ukiendelea baada lunch itakuwa Much better!

Labda ili iwe rahisi kwa mimi kuendelea ningeomba uje na majibu ya hayo mambo mawili niloeleza hapo juu.
i.e. 1. Longest & Shortest cycle ya huyo mkeo (ili tupate DANGEROUS ZONE ya mkeo).
2. Kama unazijua dalili za Ovulation.


Baada ya hapo twaweza endelea na mambo mengine.....Inshaallah.
 


swali la kwanza mbona kama nimejieleza vizuri mwanzo kama mtoa mada au muomba mshauri

2: dalili za ovulation ni zipi ?
msaada tafadhari?
Aulizaye anahitaji kujua!
 
swali la kwanza mbona kama nimejieleza vizuri mwanzo kama mtoa mada au muomba mshauri

2: dalili za ovulation ni zipi ?
msaada tafadhari?
Aulizaye anahitaji kujua!

Nimekutaka unipatie the Longest na Shortest Cycle coz najua si rahisi kwa mwanamke kuwa exactly 28 days for the whole year, lazima kuwe na some changes depending on some factors like environmental change, stress, some medications, etc.
Na kama huyo mkeo ni exactly cycle yake ni 28 days; DANGER PERIOD hapo ni kuanzia siku ya 11-17.
Ndani ya siku hizo tarehe yoyote inaweza kutokea Ovulation na siyo lazima iwe 13-14-15. Na ukishazifahamu dalili za Ovulation itakuwa rahisi kuinyaka ile siku yenyewe husika.

Kuhusu signs & symptoms za Ovulation, fanya subira, nitarejea tena kwako baadae Inshaallah.
 


sasa hapo unaniambia 11-17 lakin hapa kaanza ku bleed tar 14/11
sasa hapa inakuwaje'??
 
sasa hapo unaniambia 11-17 lakin hapa kaanza ku bleed tar 14/11
sasa hapa inakuwaje'??

Kama ameanza kubleed trh 14/11/2012, Danger Period hapo ni tarehe 24/11/2012-30/11/2012.
Ahsante.
 
pia waweza jaribu hamster free women calender download then unakuwa unajaza tu tarehe yenyewe itakupa information nyingi
 

Nimeipenda hii mkuu,maneno ya busara sana, keep it up.
 
Lol....hili somo zuri sana ngoja niprit nihifadhi kwenye makabrasha yangu asanteni sana wataalamu na sisi wengine ambao bado hatujaoa litakuja kutusaidia huko mbeleni Inshaallah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…