Jamani kwaherini kwa muda wa wiki mwezi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wana jf wapendwa woote kwa kweli mda wa kurudi zangu kijijini unawadia,wiki hili na la Maandalizi mazito ya University exams na napenda kuwapa taarifa kuwa wale wabishi waliokua humu kwa wiki hii wamebanwa na maaandalizi ya UE,baada ya hapa naelekea kwetu Mchambawima ambapo sitapata access hii ya kuchati na wanajf,Nitawamiss sana.Passed away like a shadow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…