vipau mbele vya sasa ni viwanda na kuhamia Dodoma bila kusahau elimu bure mpaka kadato cha 4.Katiba sahau,Siku zote katiba makini huletwa na wananchi sii watawala.Watawala hufurahia iliopo kama INA maslahi kwao
Dr. Slaa hayupo alafu ukawa wamemchukua lowassa aliyeipinga, ye ndo mwenye chama, unategemea nini??Wanabodi naomba kuuliza swali.
Hivi ile michakato ya katiba mpya, iliyogharimu mabilioni ya shiringi za walipa kodi iliishia wapi?
Manake naona katiba mpya haizungumziwi tena!
Imefika mahali mtu mwenye akili timamu anaweza kuhoji kuwa je hawa waheshimiwa wetu waliopo madarakani leo si ndiyo walewale walionufaika na posho za vile vikao?
Ina maana walikula posho bure au ni nini?