Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Majini hayakuwa yamechoka kweli? Maana mama yupo hadi 2030 ampishe NchimbiNimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini uganga na dini basi watu wengi waliamini uchaguzi wa mwaka huu upinzani utashinda.
Wametokea na manabii nao wanasema Mama hatashinda 2025.
Swali langu ni kuwa let assume, tufanye kuwa utabiri wa Sheikh Yahaya ni wa kweli Je Sheikh alisema kuwa huyo Rais Mwanamke atahudumu kwa kipindi kimoja? Labda atakapomaliza awamu ya pili je?
Kwa wale manabii Je Mungu amewapa muda specific? Maana Ibrahimu aliambiwa atapata mtoto akiwa na miaka 80 akaja kumpata na miaka 100.
Tujiridhishe jamani kuumia ni kwingi.
Kwani una uhakika kama hata 2026 atafika?Majini hayakuwa yamechoka kweli? Maana mama yupo hadi 2030 ampishe Nchimbi
Asifike kwanini unadhani itajirudia tena ileKwani una uhakika kama hata 2026 atafika?
Hilo ni jukumu la MunguKwani una uhakika kama hata 2026 atafika?
Tema mate chini na utubuAsifike kwanini unadhani itajirudia tena ile
HIyo furaha hutaipata Samia yupo hadi 2030Tema mate chini na utubu
hui ni uchawi tu ambao haushindi nguvu za Mungu mama mitano tenaNimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini uganga na dini basi watu wengi waliamini uchaguzi wa mwaka huu upinzani utashinda.
Wametokea na manabii nao wanasema Mama hatashinda 2025.
Swali langu ni kuwa let assume, tufanye kuwa utabiri wa Sheikh Yahaya ni wa kweli Je Sheikh alisema kuwa huyo Rais Mwanamke atahudumu kwa kipindi kimoja? Labda atakapomaliza awamu ya pili je?
Kwa wale manabii Je Mungu amewapa muda specific? Maana Ibrahimu aliambiwa atapata mtoto akiwa na miaka 80 akaja kumpata na miaka 100.
Tujiridhishe jamani kuumia ni kwingi.
Fuatilia watabiri wengi,waganga na wengineo walioivaNimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini uganga na dini basi watu wengi waliamini uchaguzi wa mwaka huu upinzani utashinda.
Wametokea na manabii nao wanasema Mama hatashinda 2025.
Swali langu ni kuwa let assume, tufanye kuwa utabiri wa Sheikh Yahaya ni wa kweli Je Sheikh alisema kuwa huyo Rais Mwanamke atahudumu kwa kipindi kimoja? Labda atakapomaliza awamu ya pili je?
Kwa wale manabii Je Mungu amewapa muda specific? Maana Ibrahimu aliambiwa atapata mtoto akiwa na miaka 80 akaja kumpata na miaka 100.).
Tujiridhishe jamani kuumia ni kwing
Swali zuri mkuu. Nijuavyo mimi. Kwenye mambo mengi ya KIROHO.KIROHO hakuna muda. Yaani kwenye ulimwengu wa roho hakuna time,siku wala miaka. Kuna mtiririko wa matukio tu...Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini uganga na dini basi watu wengi waliamini uchaguzi wa mwaka huu upinzani utashinda.
Wametokea na manabii nao wanasema Mama hatashinda 2025.
Swali langu ni kuwa let assume, tufanye kuwa utabiri wa Sheikh Yahaya ni wa kweli Je Sheikh alisema kuwa huyo Rais Mwanamke atahudumu kwa kipindi kimoja? Labda atakapomaliza awamu ya pili je?
Kwa wale manabii Je Mungu amewapa muda specific? Maana Ibrahimu aliambiwa atapata mtoto akiwa na miaka 80 akaja kumpata na miaka 100.
Tujiridhishe jamani kuumia ni kwingi.
Kwenye mambo mengi ya KIROHO huwa hakuna muda. Yaani kwenye ulimwengu wa roho hakuna time, siku wala miaka. Kuna mtiririko wa matukio (movement za nguvu kuu) Mtabiri aliiva..kwa sababu aliona matukio. Watu wengi walioiva KIROHO huoneshwa/huona matukio kama vile mtu atazamapo movie. Kazi inakuja kwenye kutasfiri ulichokiona...Fuatilia watabiri wengi,waganga na wengineo walioiva
tarehe moja mwezi flan bado haijafika tuendelee kusubiriAchana na stori za manabii na hawa watabiri , maana hata huyo uliemtaja alitabiri kuna tarehe moja ya mwezi fulani litatokea tukio ambalo litatingisha taifa zima kutokana na uzito wake hivyo tutarajie
Tukasubiria kwa hamu kuona nini kitatokea, ile siku kufika Tukio lenyewe si akafa mwenyewe🤣
Kwa kifupi Mama tunae na tunatamba nae