jamani lady jay dee...jembe kibonde na gerald hando wote kimya mpaka sasa sakata clous

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
jamani kwa wale...wanaosikilizaga redio ....inshu yoyote ikitokea mzee kibonde na gerald lazima wazungumzie

utasikia jamaa wanaongea....na kuishia kucheka...sasa tokea litokee hii inshu ya jide na clous media....nilitegemea hawa
wajomba...lazima wacomment kitu...ila ukiona mpaka sasa wako kimya,bwebwe zote wameshidwa kuongea

HUYU DADA NI BINTI COMMANDO...
 
binti komando anawaumiza sana akili hao clouds na vibaraka wote wa ruge.
 
kibonde c ni google,bado hajaijua ishu ya jide A to Z,mana hakuna hasichokijua kibonde

Sio kila kitu kinazungumzwa, Jide ni shemeji. Gadna kila siku yuko Clouds FM kufanya matangazo, so hawawezi kumchana Jide. Matangazo yote ya vipindi Clouds Gadna anafanya 77.9%.
 
Sio kila kitu kinazungumzwa, Jide ni shemeji. Gadna kila siku yuko Clouds FM kufanya matangazo, so hawawezi kumchana Jide. Matangazo yote ya vipindi Clouds Gadna anafanya 77.9%.

unamaansha kama mtu ana uhusiano na kibonde bac kuropoka kwake kunapungua kma sio kuisha kabisa, jide kuwa shem wa kibonde,amenusulika kuropokewa mbfu na kibonde?
 
Wana "journalistic integrity" ya kuacha kuripoti habari inayowahusu kwa kuhofia kuvutia ngozi kwao tehe tehe tehe /s.
 
Mkuu umekaa kimbea mbea kweli halafu nahisi unauwezo mdogo wa kupambanua mambo kama meneja amekataza nyimbo zake kupigwa je kumuongelea wataruhusu? Hujui kumuongelea ni kumpa promo maana mtu mwenyewe sasa hamna kitu. Nyimbo kama kwaya ama mdundiko ulioboreshwa
 
Hatoke mara ngapi??? Jide ana uwezo kuwalipa hao wanaobwabwaja redion mara tatu ya huo mshahara wanaoupat apo wafu
 
Nyani Ngabu naona umeshasain mikocheni kama lumumba....clouds jide kawashka pabaya mno...mlifkr atakubali suluhu kama sugu sasa amesema huyo makala mliyemhonga ili asuluishe atak kumskia na atak suluhu na wezi,wanyonyaji,maharamia na majangili wakuuuuuuuuubwa wa clouds, wakiongozwa na ruge
 
Hatoke mara ngapi??? Jide ana uwezo kuwalipa hao wanaobwabwaja redion mara tatu ya huo mshahara wanaoupat apo wafu
Angekuwa na uwezo huo, angeanza kuwalipa vizuri wafanyakazi wake.
 
binti komando anawaumiza sana akili hao clouds na vibaraka wote wa ruge.

Mkuu umeongea!huyu jamaa kila kitu anajua yeye!mpira yeye,siasa yeye,dini yeye,malezi ya watoto yeye,habari za mjini yeye!yan kawafanya wale wenzie kama vibaraka tu pale wanamsikiliza yeye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kilauzi nayo inamwanga elfu Saba Saba Kama rumumba!! JF inawapambe wake kibao!!
 
Mkuu umeongea!huyu jamaa kila kitu anajua yeye!mpira yeye,siasa yeye,dini yeye,malezi ya watoto yeye,habari za mjini yeye!yan kawafanya wale wenzie kama vibaraka tu pale wanamsikiliza yeye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kila ofisi ina mwendawazimu wake.
 
kibonde anajipendekeza sana kama anapumuliwa kisogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…