Jamani leo Ijumaa bata wapi

Happy Friday jirani!

Sasa ukishajifungia unafanya nini? Unakunywa MD 20/20 au lemonade?

Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!

Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu[emoji3]
 
Unalea au ?
 
Unalea au ?

Nope, dogo kishakuwa. Basi tu naona enjoyment yangu inakuja unipandishe ndege niende zangu huko hawaii jamaica anguilla alaska australia nk. Otherwise am like yale yale tu hamna jipya mitaani
 
uuuwiii sipendi kuzurura sana

Hata kama usipozunguka sana ,unaweza kwenda mahali pembeni kidogo ya kinondoni kama masaki na oysterbay nako ni kuzuri kutembea usiku
 
WHO TOLD YOU
 
Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!

Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu[emoji3]

Heck...you might as well do the “In my feelings” challenge and bless us with the video.

Hey Keke, do you love me? Are you riding?
Say you’ll never ever leave me
Cause I want ya
And I need ya

But seriously this challenge thing has got to stop!! So sick of it.
 
Nope, dogo kishakuwa. Basi tu naona enjoyment yangu inakuja unipandishe ndege niende zangu huko hawaii jamaica anguilla alaska australia nk. Otherwise am like yale yale tu hamna jipya mitaani
Hata movie jamani hutaki tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…