Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Njoo geto tuyapange kwanza mamiiMashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.
Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Nakaaga kona,na Mzee yule anaavaaga nguo nyeupe tupuYa hatari
Ndo wapi hapo mkuu?Mexicana hv pazuri pale kuanzia?
Mbezi beachNdo wapi hapo mkuu?
Ahahaa aisee pale kuna wahenga wanaulamba mpaka unajiuliza ni nini? Kuna yule anavaaga miwani ila Mkamba nyuma ya shingo nae vpNakaaga kona,na Mzee yule anaavaaga nguo nyeupe tupu
Unaingiana wap kwa hotel?siingiagi Ghetto mimi
Hata movie jamani hutaki tena?
Heck...you might as well do the “In my feelings” challenge and bless us with the video.
Hey Keke, do you love me? Are you riding?
Say you’ll never ever leave me
Cause I want ya
And I need ya
But seriously this challenge thing has got to stop!! So sick of it.
Hahaha, inabidi siku tukutane Hapo nikupe ofa kadhaaAhahaa aisee pale kuna wahenga wanaulamba mpaka unajiuliza ni nini? Kuna yule anavaaga miwani ila Mkamba nyuma ya shingo nae vp
Utakuwa wapi white....Huko umepataja ni governers tu ndo panabamba ijumaa. Sehemu ziko nyingii. Ila anza na tips
Mimi sio mnywaji hata sina gharama hataHahaha, inabidi siku tukutane Hapo nikupe ofa kadhaa
We jamaa akili zako unazijua mwenyewe.....Hahaaaa my bad Viv!
It’s not that kinda smoke.
It’s the other smoke....ass whupin.
Huko naskia hakuna amsha amsha RRONDO njoo hapaTabata nasikia ndio kwenyewe the great, Kweti pazuri, fouty fourty.......
Hope utakua unalea au bado ndoa changaKweli kila kitu na umri wake, mie saa moja nishajifungia ndani na roho nyeupee pyeee, [emoji4][emoji4][emoji4]